We aka pichaNyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.
Bati ndio linakutu kidooogo kwambali...😊Nzuri sana. ☺️
Haya mambo umeanzisha wewe jirani na kichaa chako! Mimi nimekuiga wewe 🤣🤣🤣Bati ndio linakutu kidooogo kwambali...😊
Ebu inunue jirani..☺
Labda imeezekwa maputo styleWe aka picha
Punda anauzwa akiwa shambaNzuri sana. ☺️
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Haya mambo umeanzisha wewe jirani na kichaa chako! Mimi nimekuiga wewe 🤣🤣🤣
haya tununue!
Umeshindwa kuweka picha ya nyumba! Na mawasiliano yako nayo hujaweka. Shida ni nini hasa?Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.
ungesubiri picha ndio uweke tangazo,kuna mwehu atakupigia simu kuuliza nyumba ambayo hajaiona?Samahani mkuu picha nitaweka Muda si mrefu mawasiliano +255 769 088 152
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
Hajapata picha bado?Mkuu.....
Aikunyingine ukitaka kuweka tangazo la biashara hakikisha unaweka picha ambazo zinaonekana vizuri ikiwezekana pande zote za bidhaa.
Weka mawasiliano yako ama mawasiliano ya bidhaa.
Elezea location mzigo au bidhaa ilipo.
Ikikupendeza sema wewe unaoatikana wapi.
Bila hivyo utakutana na vichaa humu wamevurugwa na mambo mbalimbali alafu utaichukia jf kwa kuona kama wanakusagia kunguni.