dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Unauza nyumba pamoja na kiwanja au ni nyumba tu?
Ooh subiri niulize kuna mtu yeye alikuwa anataka tu kiwanja.Mkuu asante kwa swali ila ungesoma na maelezo pia ingekusaidia sana kuelewa, waswahili tunasema kusoma hujui hata picha hujui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh subiri niulize kuna mtu yeye alikuwa anataka tu kiwanja.
Ooh subiri niulize kuna mtu yeye alikuwa anataka tu kiwanja.
Mkuu salasala ni mjini kabisa hapa.karibu uone nyumbaToka 2019? Jamn huko iliko majambazi yataamua yakufanye nn pindi yakja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]