House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga.

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga.

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
720
Reaction score
644
Location: Pongwe, Tanga.
Umbali kuelekea main road: 1 km
Maji yanapatikana 24 hrs, 7 days.
Umeme upo karibu, hakuna haja ya nguzo.
Vyumba vitatu, kimoja master
Kuna Public Toilet
Kuna Jiko na Store
Kuna Sitting room na Dinning room.
Kiwanja ukubwa ni sq mita 900.
Tiles vyooni.
Chini kuna zege.
Bei 70M , maongezi yapo.
Hati ya Nyumba ipo kwenye mchakato kukamilika.

......................................................
.. .....................................................

UPDATES:
25.09.2018
baada ya mashauriano ya kina, mwenye nyumba amekubali kupunguza bei na kufikia Milioni 50..

ANGALIZO: Hakuna bei ya Udalali iliyoongezwa. Mazungumzo kuhusu bei na malipo yote yanafanyika na mwenye nyumba moja kwa moja.

Call: 0620 - 538081

IMG-20180908-WA0015.jpg
IMG-20180908-WA0016.jpg
IMG-20180908-WA0017.jpg
IMG-20180908-WA0018.jpg
 
Mazingira ya kijani yanavutia sana kwa kufuga ndege.
 
Mshauri mwenye nyumba apunguze bei,auze kuanzia 40m la sivyo kwa vyuma hivi atashbiri sana na nyumba yenyewe haina finishing inayoeleweka,haina aluminum, haina umeme,haina rangi zaidi ya hiyo skimming.!
 
Angalia vizuri bei yako mkuu na kama ni dalali basi unamchelewesha mwenzio kuuza
Mkuu, hakuna bei ya Dalali. Ni bei ya mwenye nyumba moja kwa moja, bei inaanzia 70M na kuishia 68M. Ni pesa anayolipwa mwenye nyumba moja kwa moja. Ila kama kuna haja ya yeye kupunguza, ntaufikisha ujumbe.
 
Naijua hiyo nyumba vizuri sana,nilisikia imetangazwa long time ila bei zake ndio mtihani.
Mwenye hiyo nyumba si yupo Mbeya si ndio??
 
Naijua hiyo nyumba vizuri sana,nilisikia imetangazwa long time ila bei zake ndio mtihani.
Mwenye hiyo nyumba si yupo Mbeya si ndio??
Hakika Mkuu, ni yenyewe haswaa. Tena utakuwa umewasaidia wadau wanaosema bei ni kubwa kwa sababu ya udalali.

Kazi yetu hapa ni kuendelea kufikisha taarifa kwa wateja..Kama kuna haja ya bei kupunguzwa, iwe ni makubaliano ya mmiliki na mnunuzi.
 
Hakika Mkuu, ni yenyewe haswaa. Tena utakuwa umewasaidia wadau wanaosema bei ni kubwa kwa sababu ya udalali.

Kazi yetu hapa ni kuendelea kufikisha taarifa kwa wateja..Kama kuna haja ya bei kupunguzwa, iwe ni makubaliano ya mmiliki na mnunuzi.
Mwenye nyumba inaonekana anadhani hiki ni kipindi cha nyuma,hata kama angefanya finishing ya ukweli bado ni ngumu kupata 70m kwa nyumba hiyo na eneo ilipo.
Najua ujenzi ni gharama lakini si rahisi kupata mteja wa 70m kwa nyakati hizi labda asubirie baada ya 2025.
 
Picha kwa mwonekano wa ndani. Karibuni.

Bei ya mwisho ni 65M
IMG-20180912-WA0014.jpg
IMG-20180912-WA0011.jpg
IMG-20180912-WA0012.jpg
IMG-20180912-WA0013.jpg
 
UPDATES:
Baada ya ushauri wa kina mwenye nyumba amekubali kupunguza bei na kufikia 50M.

Karibuni sana Wadau..
 
Finishing ndani bado sana. Ameweka tu grills ili watu wasiingie kunya na kuzaa ovyoo tu basi. Ukiinunua lazima ung'oe hizo grills uweke zinazoeleweka!!!
 
Back
Top Bottom