House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Dar es salaam

alpha walk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
215
Reaction score
206
Nyumba inauzwa ipo toangoma dar es salaam

-Ina vyumba vitatu kimoja master na vyote vina feni juu na sehem ya kuweka kabati la nguo
-Dinning
-Jiko kubwa
-Sebule
-Choo cha ndani na nje(hiki cha nje bado hakijaisha)
-Gypsum
-Tiles kote kasoro vyumbani tu
-Nje kuna vyumba viwili kimoja master(vimeishia kwenye linter)
-Nyuma ina eneo kubwa unaeza ukaongeza vyumba
-Gari linaingia
-Sio mbali kutoka barabarani(panafikika kwa kutembea)
-Njia ya gari kutoka barabarani
-Haina ufa hata wa bahati mbaya ilisukiwa nondo za kutosha(sio jenga uza)
-Bati halina kutu
-Kila kitu kipo sawa

Bei ni mil 90 haina udalali namba yangu 0653110660 kama utapenda kuja kuiangalia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…