William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
Holes za kutolea unyevu na majimaji nitumie namba yako pm nikutumie picture za kutoshaHizo kwenye kiti cha nyumba nn? Matundu ya risasi?
Hizo kwenye kiti cha nyumba nn? Matundu ya risasi?
Km unapicha nyingine ni bora ukazituma hapa maana hii ni biashara haitakiwi kificho ongeza picha za sebuleni,vyumba,mabanda ya nje, eneo la nje kila angle, picha nyingine ipige tokea nje fence na geti vionekaneHoles za kutolea unyevu na majimaji nipm namba yako ya Whatsapp nikutumie picture za kutosha
Nimeziongeza hapoPiga picha nyingi kuzunguka nyumba yote pamoja na mazingira ya nje na upige vizuri naweza kushawishika nikaja
Nimeziongeza hapoKm unapicha nyingine ni bora ukazituma hapa maana hii ni biashara haitakiwi kificho ongeza picha za sebuleni,vyumba,mabanda ya nje, eneo la nje kila angle, picha nyingine ipige tokea nje fence na geti vionekane