D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Imeshapata mteja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwa sasa nipo mbali kazini.Habari bila picha ni sawa na chai bila sukari. Pia ni vizuri kutaja vitu muhimu kama maji je yapo jirani au umeme je unapatikana karibu na kiwanja kama kimepimwa na kina hati au vipi , je mawasiliano ya barabara yapo mpaka nyumbani au hakina n.k.. Weka maelezo hayo na mengine utakayoona ni muhimu yakiambatana na bei, watu hali nguvu tunanunua data tu lakini kupiga tunabip , je unaruhusu kubipiwa?