Habari wana JF.. Natafuta mnunuzi wa nyumba, iko kariakoo mtaa wa nyarung'ombe na ndanda.. Nyumba ni kubwa na iko kwenye corner.. Mimi ni mjukuu wa mwenye nyumba..
Hati ndio inayo. Tume imeshughulikiwa recently, ilikua haina.. Ilikua ina makaratasi tu ya ununuzi kati ya babu yangu na yule aliemuuzia miaka ya sabini..