House4Sale Nyumba inauzwa Katoro Geita

0768628314

Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
44
Reaction score
96
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki no 0692547049 au 0768628314 & whatsapp

Ina vyumba vya kulala 4

Master 1
Chumba cha kulala watoto wa kiume 1
Chumba cha kulala watoto wa kike 1
Chumba cha wageni 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo

Umeme upo mlangoni ni wewe na mita yako tu.

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.95

0692547049 au 0768628314 & whatsapp

Kumbe katoro pesa ya madini ipo nje nje,
hivi kuna nyumba ya m95 hapo? Au ni boma lililo ezekwa bati.
Hio ni nyumba mkuu sio ka nyumba kama ni boma lililo ezekwa basi sawa kama kiwanja unanunua mpaka mil 10 je ujenzi wewe kama huna pesa sema sina hicho kiasi tujue
 
Nyumba hujafanya finishing m95 bado ni kubwa, mshauri muuzaji aweke Bei reasonable

Afu sema tu Ina vyumba vinne! Mambo ya chumba Cha watoto wa kiume, mara wa kike hayana umuhimu

Anyway Kila la kheri
 
Nyumba hujafanya finishing m95 bado ni kubwa, mshauri muuzaji aweke Bei reasonable

Afu sema tu Ina vyumba vinne! Mambo ya chumba Cha watoto wa kiume, mara wa kike hayana umuhimu

Anyway Kila la kheri
Shukrani mkuu muhitaji na mnunuzi atakuja na bei yake tutazungumza
 
Huko kijijini ukiuza bei kubwa saana haitazidi 40M
 
Huko kijijini ukiuza bei kubwa saana haitazidi 40M
Ni sawa pia kikubwa maelewano baina ya mnunuzi na muuzaji hii ni biashara ukisema kijijini unakosea hongera yako unae ishi mjini mkuu
 
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki no 0692547049 au 0768628314 & whatsapp

Ina vyumba vya kulala 4

Master 1
Chumba cha kulala watoto wa kiume 1
Chumba cha kulala watoto wa kike 1
Chumba cha wageni 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo

Umeme upo mlangoni ni wewe na mita yako tu.

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.95

0692547049 au 0768628314 & whatsapp
 
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki no 0692547049 au 0768628314 & whatsapp

Ina vyumba vya kulala 4

Master 1
Chumba cha kulala watoto wa kiume 1
Chumba cha kulala watoto wa kike 1
Chumba cha wageni 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo

Umeme upo mlangoni ni wewe na mita yako tu.

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.75

0692547049 au 0768628314 & whatsapp
 
Dah
Hiyo kwakweli iuzwe tu
Paa linashindana na Mt Kilimanjaro
 
Sasa mkuu hiyo dropping from 95-75...
Basi angefanya 50M kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…