House4Sale Nyumba inauzwa Keko juu (Dar es Salaam)

House4Sale Nyumba inauzwa Keko juu (Dar es Salaam)

Medy boy

New Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE.

Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo ndani ya UA moja na kila Nyumba ndani yake ina Luku yake, Sebule, jiko, toilet na vyumba viwili hadi vitatu.

Nyumba inaeneo kubwa la parking mpaka gari 3 kubwa.Nyumba inauzwa M- 450,000,000/= maongezi yapo....!!!

Nicheki- 0716856398
20200526_173253-COLLAGE.jpeg
IMG_20200526_141130.jpeg
 
Nyumba au kiwanja? Kwa kiwanja sawa maeneo hayo ni prime
 
Nyumba au kiwanja? Kwa kiwanja sawa maeneo hayo ni prime
Kuna kitu hakipo sawa SqM 450 keko haiwezi kuwa mil 450. Kipindi hiki hata mbezi beach karibu kabisa na bahari humuuzii mtu SqM 450 kwa mil 450. Hiyo ni nusu bilioni, hata US au Canada unanunua nyumba nzuri sana tu.
 
Back
Top Bottom