Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE.
Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo ndani ya UA moja na kila Nyumba ndani yake ina Luku yake, Sebule, jiko, toilet na vyumba viwili hadi vitatu.
Nyumba inaeneo kubwa la parking mpaka gari 3 kubwa.Nyumba inauzwa M- 450,000,000/= maongezi yapo....!!!
Kuna kitu hakipo sawa SqM 450 keko haiwezi kuwa mil 450. Kipindi hiki hata mbezi beach karibu kabisa na bahari humuuzii mtu SqM 450 kwa mil 450. Hiyo ni nusu bilioni, hata US au Canada unanunua nyumba nzuri sana tu.