Laki na nusu inabakiUkiondoa udalali inabaki , ngap?
Shamba unapajua😂Hahahhahha yani ninunue nyumba shamba milion 98 si ndo 100 iyo ardhi haina value dah
Vipi una watoto wengi unasomesha nini ? Heti kupelekwa site elfu 30, unajipangia tu bei, mbona wewe umeshindwa kuipata hiyo 30K na maisha haya yalivyokuwa magumu.Nyumba ya kisasa inauzwa Kibaha Kongowe
Vyumba vitatu vyote masta
Seble
Dinning
Jiko&stoo
Public toilet
Ipo ndani ya fensi
Eneo ni sqm 882(mita 21×42)
Kilomita 1 toka stendi
Bei million 98
Kupelekwa site ni 30k
0744757738
0784376888
Nimeweka hvyo ili msije nyie ambao hamna hela ya kununua, mnaleta usumbufu tuVipi una watoto wengi unasomesha nini ? Heti kupelekwa site elfu 30, unajipangia tu bei, mbona wewe umeshindwa kuipata hiyo 30K na maisha haya yalivyokuwa magumu.
Wewe mwenyewe hauna hela ila tamaa tu ndio imekujaa.Nimeweka hvyo ili msije nyie ambao hamna hela ya kununua, mnaleta usumbufu tu
Sukari imepanda ee, tulia acha kudandia mambo😂Wewe mwenyewe hauna hela ila tamaa tu ndio imekujaa.
Ungekuwa una hela hiyo nyumba basi ungenunua wewe.
Ukipewa million 50 unaifikisha nyumba hapo kweli boss?Mkuu acha utani basi kiongozi. Nyumba ya 98m iko wapi? Hiyo nyumba haizidi 50m.
Vizuri sana. Hiyo nyumba hadi kupaua bati la msouth migongo mipana haizidi 20m, finishing iliyopigwa hapo ni ya kawaida sana haizidi 25m. 50m inamaliza kila kitu na nabakia na hela ya supu.Ukipewa million 50 unaifikisha nyumba hapo kweli boss?
Ukweli kaenda mbali Sana na uhalisiaHahahhahha yani ninunue nyumba shamba milion 98 si ndo 100 iyo ardhi haina value dah
Tuoneshe yako kwanza tujue umejengajeVizuri sana. Hiyo nyumba hadi kupaua bati la msouth migongo mipana haizidi 20m, finishing iliyopigwa hapo ni ya kawaida sana haizidi 25m. 50m inamaliza kila kitu na nabakia na hela ya supu.
Hii itakuja kununuliwa kwa around ya m30-45. Tunza hii coment yangu.Nadhani wengi hawajui thamani halisi ya properties zao.hizo ni bei za kinyerezi au goba kwa ubora na aina ya nyumba kama hiyoNyumba ya kisasa inauzwa Kibaha Kongowe
Vyumba vitatu vyote masta
Seble
Dinning
Jiko&stoo
Public toilet
Ipo ndani ya fensi
Eneo ni sqm 882(mita 21×42)
Kilomita 1 toka stendi
Bei million 98
Kupelekwa site ni 30k
0744757738
0784376888
View attachment 3315407View attachment 3315410View attachment 3315411
Yaani sina hela ya kununua, nije kufanya nini huko? Muda ni thamani.Nimeweka hvyo ili msije nyie ambao hamna hela ya kununua, mnaleta usumbufu tu