Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam.

Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum.

Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu.

Sababu.
Familia imehamisha makazi
Baadhi ya picha nimeambatanisha

IMG-20240714-WA0006.jpg

IMG-20240714-WA0007.jpg

IMG-20240714-WA0012.jpg

Wasiliana na mimi Moja Kwa Moja 0735203020
Hakuna udalali.
 
Back
Top Bottom