House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

Arturo mateo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
636
Reaction score
1,076
Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba vinne na yapo mabanda ya kufuga makubwa matatu, unaweza kufuga kuku, ng'ombe, mbuzi n.k, vyote hivyo vipo
Ndani ya eneo la ekari moja.

+255672893600


IMG-20220905-WA0030.jpg
IMG-20220905-WA0029.jpg
IMG-20220905-WA0034.jpg
IMG-20220905-WA0031.jpg
IMG-20220905-WA0033.jpg
IMG-20220905-WA0027.jpg
IMG-20220905-WA0032.jpg
 
Hivi ufugaji hauhusiani na uwezo wa kuwafikia wateja? Mtu akifuga maeneo hayo wateja wake wanapatikana wapi?
 
Hivi ufugaji hauhusiani na uwezo wa kuwafikia wateja? Mtu akifuga maeneo hayo wateja wake wanapatikana wapi?
Uku ndo kwenyewe Sasa kwenye kufuga,wateja wanafuata mzigo shamba ,na Kuna kiwanda kikubwa Cha vyakula vya mifugo Cha waarabu,majani ya kutosha,kisima na maji ya dawasco vyote vipo
 
Back
Top Bottom