Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba vinne na yapo mabanda ya kufuga makubwa matatu, unaweza kufuga kuku, ng'ombe, mbuzi n.k, vyote hivyo vipo
Ndani ya eneo la ekari moja.
Uku ndo kwenyewe Sasa kwenye kufuga,wateja wanafuata mzigo shamba ,na Kuna kiwanda kikubwa Cha vyakula vya mifugo Cha waarabu,majani ya kutosha,kisima na maji ya dawasco vyote vipo