Nyumba inauzwa kigamboni karibia na NHC

Joined
Feb 8, 2019
Posts
94
Reaction score
124
NYUMBA INAUZWA

DESCRIPTION:
Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja ni master room,pia ina dinning,sitting,public toilet na parking
Eneo lina sqm 2000 zikiwa zimegawanywa sqm 1ooo kwa ajili ya makazi na sqm 1000 ni mabwawa matatu ya kufugia samaki
Na huu mradi wa samaki unafanya kazi na samaki zinauzwa
Imezungushiwa fensi yote

SERVICES;
maji ya dawasco na umeme wa tanesco

LOCATION;
nyumba ipo kigamboni karibia na nyumba za dege au za NHC

BEI;
Tsh milion 235/mazungumzo yapo

DOCUMENTS:
ina hati miliki kabisa

MAWASILIANO:
Simu au whatapp (0673540985 au 0765532858)

NJOO KWA DALALIMSOMI UJIPATIE UNACHO KITAKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikopo bhana, haimwachagi mtu salama sijui kwa nini yani!
 
Kumbe ni Dalali, umefanya kosa la over-value thamani halisi. Itakusumbua kuuza mkuu.
Mi huwa sifanyi hicho kitu ndo maana wanajamiiforum ndo wateja wangu wakubwa na ndo wananitumia kazi yani nyumba zao niiuze na huwa nauza kwa bei elekezi ya mteja lakini pia huwa nawashauri kuhusu bei
Karibu sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
235 MILIONI HAPANA kwa kuangalia kwenye picha hio inaweza anzia kati ya 75 milioni na 120 ila zaidi ya hapo i doubt labda utupe taarifa zaidi kuhusu mradi wa samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…