Bill DanOI
New Member
- Mar 9, 2018
- 3
- 0
Semi finished iko muembe mdogo, Kigamboni Dsm....in vyumba 3 kati ya hivyo 2 ni self contained, jiko na stoo yake,sebule na dinning room pamoja na public toilet. Imeshawekwa grills madirisha yote na milango ya chuma kwa mbele na nyuma. Rough floor chini tayari kasoro nusu ya sebule na chumba kimoja. Ukubwa wa kiwanja ni eka 1/mita za mraba 4900. Nyumba iko mita 300 kutoka barabara kubwa ya lami ya kwenda Kimbiji. Bei 33 milioni, lipa hata kwa awamu 3. Ukihitaji kiwanja peke yake bila nyumba au nyumba na kiwanja kidogo tunaweza ongea pia. Tuwasiliane kwa 0620347647