Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,113 Dec 20, 2020 #1 Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full fence ulinzi uhakika hakuna uswahili Parking space ya kutosha range rover 3 zina fit Hati za umiliki zipo Hakuna mgogoro wowote tutaenda ardhi benki mpaka kwa mwenyekiti kuthibitisha. Njoo na wataalam wako nunua nyumba ishi maisha bila bughudha
Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full fence ulinzi uhakika hakuna uswahili Parking space ya kutosha range rover 3 zina fit Hati za umiliki zipo Hakuna mgogoro wowote tutaenda ardhi benki mpaka kwa mwenyekiti kuthibitisha. Njoo na wataalam wako nunua nyumba ishi maisha bila bughudha
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Dec 20, 2020 #2 Kwanini unauza?
Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,113 Dec 20, 2020 Thread starter #3 Victoire said: Kwa nini unauza ? Click to expand... Mteja wangu anahamia kwingine Karibu viki.. Ukitoka marekani unatulia hapa na familia yako
Victoire said: Kwa nini unauza ? Click to expand... Mteja wangu anahamia kwingine Karibu viki.. Ukitoka marekani unatulia hapa na familia yako
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Dec 20, 2020 #4 oneword said: Mteja wangu anahamia kwingine Karibu viki.. Ukitoka marekani unatulia hapa na familia yako Click to expand... Sasa si utafute mpangaji mwingine ?Mimi nikitoka huku nakwenda kuishi kwetu Somanda mlimani.
oneword said: Mteja wangu anahamia kwingine Karibu viki.. Ukitoka marekani unatulia hapa na familia yako Click to expand... Sasa si utafute mpangaji mwingine ?Mimi nikitoka huku nakwenda kuishi kwetu Somanda mlimani.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Dec 20, 2020 #5 Sebule mbona ina kama umbo la pembe tatu