Nassoro Abdallah
Member
- Jul 22, 2020
- 89
- 94
Acha mazarau dadaGarden iko wapi? Au mli plan iwe karakana? All in all, I wish you all the best
Kwa urefu wa huo ukuta kipindi cha joto air flow inakuwa ndogo, anywa kila la heriNyumba ipo mikwambe fundi baisikeli ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room jiko na public toilet bei milioni 80 mzungumzo yapo pia ina vyumba viwili masters
0787672719[emoji3454]071367271View attachment 2774080View attachment 2774081
Nimedharau nini? Kuulizia ilipo bustani ndio dharau?Acha mazarau dada
Utakuta hata kiwanja hana, anakosoa nyumba za watu Tena nyumba za gharamaAcha mazarau dada
Okay sorry ila si unaona hiyo ni nyumba ya kuishi?. Au unaona ni karakana ya kufua vyuma.Nimedharau nini? Kuulizia ilipo bustani ndio dharau?
Sio rahisi kwakweliMungu amtangulie najua ni shida tu..mtu hawezi uza nyumba yake kirahisi...namuombea shida yake iishe