House4Sale Nyumba inauzwa Kiluvya Madukani

House4Sale Nyumba inauzwa Kiluvya Madukani

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
Nyumba Ipo Kiluvya Madukani,

Nyumba Ipo umbali wa Kilometer Moja Kutoka Morogoro Road. Ukubwa Wa Eneo ni mita 15 Upana na Urefu mita 22.60. Nyumba Ina Vyumba Vitatu Vyote ni Masterbedrooms.

Nyumba Ina Sebule Kubwa, Ina Dinning, Ina Public Toilet ya ndani. Ina Jiko Ambalo pia lina Stoo. Shimo la Choo lipo tayari na Limeshafunikwa. Document serikali za Mitaa. Huduma zote za kijamii umeme, maji, Zipo na Gari inaingia mpaka Ilipo nyumba.
Bei Milioni 37, Mazungumzo yapo.

[emoji3513] 0712 78 79 39

Nicheki WhatsApp kwa video ya ndani ya nyumba.
IMG-20210219-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom