House4Sale Nyumba inauzwa Kimara mwisho

bintishomvi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
1,164
Reaction score
833
Nyumba ipo Kimara mwisho km 3 kutoka barabara ya MOROGORO maeneo ya Mavurunza eneo limepimwa lina ukubwa wa sq mita 900 nyumba imeishia linta ,(haijapauliwa) ni selfu ina vyumba 3 vya kulala kimoja wapo ni master sebure,sehemu ya chakula, jiko stoo vyoo 2 vya ndani ipo sehemu nzuri gari inafika na eneo la kujenga nyumba nyingine.
Bei ml 24
Mawasiliano 0718202286.



 
24M parefu sana tusubiri wenye nazo.
 
Maana ya nyumba ni nini?. Hivi jengo kama halijaezekwa unaweza ita nyumba?
 
Mkuu kwa hali ilivyo na inakoelekea utauza half of the current price.Pesa kwa sasa ipo serikalini tu
 
Mkuu kwa hali ilivyo na inakoelekea utauza half of the current price.Pesa kwa sasa ipo serikalini tu
Pesa bado ipo kwenyemzunguuko ila matumizi yasiyo ya ladhima ndio yamebana .
 
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 30m*27m (sqm 810). Bei 1.8 ml. 0753101293
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…