House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Temboni

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
228
Reaction score
300
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu.

Vyumba vitatu kimoja master
Sebule jiko na choo cha public.

Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20
Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu

Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa.

Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site.

Mteja piga simu 0675 065906.

1716444639659.jpg
 
Kweli maisha magumu, 30m tu unanunua nyumba room 3, imepauliwa? Ajabu sana, 20x20:

  • Kiwanja 20m
  • Ujenzi mpaka lenter 12m
  • kupaua 10.
  • Madirisha na mengine : 5m
 
Nimepata wasiwasi na huyu jamaa, nyumba anazouza nyingi ni 30-38M
Mostly inakuwa sio relevant
 
Boss unataka nilete nyumba za mln 200-mln 500 utaweza kununua?Usivuruge soko la mtu kwa mitazamo hasi uliyonayo kimsingi hizi ni bei ambazo ni affordable sasa kwanini nilete vitu vya gharama huku wakati wateja ni ngumu kupata?

Hao wapo Facebook kwenye group la dalali kibaha Kule anajulikana Kwa jina la Bundhala Wana Nyumba za Bei ndogo na viwanja vya Bei ndogo sana.
Kuna nyumba ipo Msufini, Kwa mathiasi, Maili Moja Zina zaidi ya miezi Sita zinatangazwa na Bei zao ni 22M,25M, 27M, na 30M.
Wengine wanauza nyumba za Banki Kwa minada hewa , tuwe Makini sana. Na hao Jamaa.
 
Nimekupata vizuri.
 
Nyumba gani Temboni to Kibanda cha Mkaa distance 2km to 3km from main road kiwanja cha 20x20 kwa 30M.

Mkuu huu ni utapeli wa wazi wazi.

Kiwanja cha 20x20 kwa maeneo hayo kwa sasa sio chini ya 20m.

Ongezea na nyuma juu, iwe 30M.

Huu ngumu sana kumeza mdau dalali.
 
Mkuu Utapeli upi sasa hapo?kama una mzigo mln 30 beba mwanasheria wako mje mhakiki ujipatie nyumba hizo kelele zako ni kupoteza muda tu
 
Nimekupata vizuri.
Mkuu acha kutishwa na mtu mmoja mwenye roho ya kimaskini ya wivu,Ni kweli matapeli wapo ila taratibu za kisheria za kununua nyumba au ardhi zipo ukizifuata hutatapeliwa so sioni mantiki ya wewe mtu mzima kutishiwa nyau as if umekuja mjini jana.Ukiwa smart huwezi kutapeliwa bwana
 
Mkuu Utapeli upi sasa hapo?kama una mzigo mln 30 beba mwanasheria wako mje mhakiki ujipatie nyumba hizo kelele zako ni kupoteza muda tu
Inakwenda kwenye Sheria ipi Kwa Document za Serikali ya mtaa, hapo hakuna hata nyumba Moja yenye Do ument za Ofisi ya Ardhi , zote utaambiwa sales agreement kutoka serikali ya mtaa!!
 
Kweli maisha magumu, 30m tu unanunua nyumba room 3, imepauliwa? Ajabu sana, 20x20:

  • Kiwanja 20m
  • Ujenzi mpaka lenter 12m
  • kupaua 10.
  • Madirisha na mengine : 5m
Kwa mtu anayejua gharama za ujenzi hiyo bei ni rahisi.
 
Inakwenda kwenye Sheria ipi Kwa Document za Serikali ya mtaa, hapo hakuna hata nyumba Moja yenye Do ument za Ofisi ya Ardhi , zote utaambiwa sales agreement kutoka serikali ya mtaa!!
Kama sina hati ya wizara siwezi kuwa mmiliki sio? Au siwezi kuuza property yabgu sio?Tatizo una kariri mambo mkuu pia usiwe much know sana kujifanya kila kitu unajua.....Naona tatizo hapo ni kwamba huna hela tu
 
Kwa mtu anayejua gharama za ujenzi hiyo bei ni rahisi.
Hii ni bei ya kutupa fursa kama hizi huja mara chache sana....Nashangaa watu wanazubaa kazi kuponda tu badala ya kufuatilia na kujiridhisha kuhusu hii mali
 
Back
Top Bottom