Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Nyumba inauzwa maeneo ya kimara mwisho 2km kutoka morogoro road
nyumba ina 2 bed room+master+sitting room+kichen & store
ina umeme ,ina plaster but haijafanyiwa finishing(tiles_rangi bado) (board+fan vyumba vyote n.k tayari)
But haina fensi
bei TSH 60,000,000/= inapungua
samahanini kwa maelezo meni hii yote kwa sababu nimeshindwa kuattach pics ila ntajitahid kuziweka as soon as possible
karibun cont: 0718776676
barabara inayoelekeaDu ebwana kwa mara ya kwanza tokea najiunga na JF kuona mtu anaeuza nyumba kwa bei ndogo, kuna mwenzako ametangaza leo kutokea Tabata Segerea anataka milion 250.Anyway elekeza nyumba yako ipo Kimara ipi maana Kimara nayo ni kubwa asikuambie mtu.Kuna Kimara Kilungule, King'ong'o,Suka,Stop Over, Golani,Bonyokwa,kwa Mrema.Sasa wewe upo Kimara ipi ndugu yangu?
Jaribu kuweka na picha kabisa
barabara inayoelekea
bonyokwa but hufiki kule unaishia kwa mashaka/kwa bonge mkuu
Barabara ya kwenda Bonyokwa unamaanisha Kimara Mwisho then unaingia kushoto kama unatokea Ubungo, vipi unafika darajani pale oposite na Midland High School na je kama unafika darajani unaelekea upande upi.Ule wa vyumba vinane ama unaelekea kwa mama Stellah?