Nyumba inauzwa kimara

Joel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2007
Posts
1,031
Reaction score
561
wadau wa jf kuna nyumba nzuri ya vyumba 3, choo, bafu, jiko, store, dinning room, sitting room na eneo kubwa tu la uwanja inauzwa. Umeme na maji vipo.
Ipo kimara mwisho - ghorofani nyuma ya makaburi - njia ya kwenda bonyokwa.
 

MAJI YAPO KWENYE NYUMBA AMA JIRANI, NYUMBA INAFIKIKA, INA HAKI YOYOTE?, UNGEWEKA PICHA ingekuwa vizuri
 
Weka picha, halafu ni umbali gani toka barabara kuu?
 
UKITAKA KUJUA AMNA WANUNUAJI SOMA HAPA CHINI

<LI class=stats>Replies: 3 <LI class=stats>Views: 44 HUO UMBALI WALA SI TATIZO WENGINE WAKISIKIA BARBARANI NDIO WANAKIMBIA KABISA WANAJUA WANAUZIWA FAMBA
 
picha za nyumba tafadhali



 
sawasawa ngugu zangu lakini kwa sasa nipo nje ya mji kwa hiyo itakuwa ngumu kuweka picha, labda baada ya wiki moja hivi na ushee.
nyumba ipo mita 400 kutoka barabara ya morogoro, mita 35 kutoka barabara iendayo bonyokwa.
 
kwa bei hiyo na specification naona ni dili nzuri naimis sana ila tatizo noti,that's a big deal at kimara
nyumba iliyokwisha jengwa kwa TZS 25m or less Mbona sisi hatukamati fedha daaah! wenye nyingi tugawane maana uwezo wa kufikisha 25
labda 15years
 
Joel, I beg you come clean, hii nyumba nahisi kama ina issue fulani, ilipostiwa hapa hapa last month na bei ikawekwa M.35.
Serious buyers sio lazima wajibu humu, hupiga simu. Binafsi kuna mtu kanituma nimtafutie nyumba ya kununua ASAP kabla ya Dec. 31. Nlipoliona hili tangazo nikatake trouble kupiga simu. Ikapokelewa na mkaka, nikamwambia naomba kwenda kyuiangalia. Akanijibu hana nafasi.

Nikajaribu namba ya pili, ikapokelewa na mdada, nikamwambia nataka kuiona, akesema aliyeachiwa hayupo mpaka wiki inayofuata, nilimuhakikishia huyo mwenye shida amenipa mandate yote na deal ni cash cash, nikaona hawa wenye hii nyumba are not serious au inaissue, nyumba yenye sifa hizo kuuzwa kwa M. 25 tangu October mpaka sasa Dec na haijapata mnunuzi!, was supposed to be a hot cake lakini si bure kuna kitu!.
 
Nashukuru kwa kuliona hilo....
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Weka picha!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nahukuru kwa taarifa!lakini picha ni ya muhimu zaidi!!
 
Weka picha na ramani ya mtaa/kitongoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…