Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Jumba limechakaa hivyo unauza mil 350 serious?Ipo maeneo ya kinondoni.
Ghorofa moja,byumba za chini pamoja na fremu mbili nje.
Kwa sasa bei 350,000,000 mil
Ina hati miliki
Ukubwa wa eneo sqm 600
Inafaa kwa office,restaurant,hospital nk.
0785199755
Karibuni
Very poor marketing skills and experience!!Ipo maeneo ya kinondoni.
Ghorofa moja,byumba za chini pamoja na fremu mbili nje.
Kwa sasa bei 350,000,000 mil
Ina hati miliki
Ukubwa wa eneo sqm 600
Inafaa kwa office,restaurant,hospital nk.
0785199755
Karibuni
Unaishi wapi mkuuJumba limechakaa hivyo unauza mil 350 serious?
Siku hizi we dada umekua dalali?Ipo maeneo ya kinondoni.
Ghorofa moja,byumba za chini pamoja na fremu mbili nje.
Kwa sasa bei 350,000,000 mil
Ina hati miliki
Ukubwa wa eneo sqm 600
Inafaa kwa office,restaurant,hospital nk.
0785199755
Karibuni
Shida kuupload picha.mtandao ukiwa dhaifu nadhani unaelewa.nahangaika zipandeBiashara ambazo hazina uwazi zinatia mashaka kweli
Yeah nimekua dalaliSiku hizi we dada umekua dalali?
Hapo umeweka million ngap zako?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nafikiri umenielewa sasa... kila la heri.Unaishi wapi mkuu