Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne, chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo.
Ina uwanja mkubwa sana wa kutosha kwa ajili ya parking na Ina nyaraka zote muhimu zinazohitajika.
Nyumba ni nzuri sana ukizingatia na m
taa ilipo.
Maji yapo na ina kisima pamoja na pump ili maji yapatikane masaa 24, umeme upo... kila kitu sawa.
Nyumba ni ya kisasa ipo kwenye hali nzuri ni karibu na barabara kuu. Inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na Biashara. Ilikua inapangishwa kwa mwezi laki 6.
Inauzwa Shiling Milioni 600, mazungumzo yapo.
kama nahitaji piga hii namba, 0655195348