House4Sale Nyumba inauzwa Kinyerezi wahi mapema

House4Sale Nyumba inauzwa Kinyerezi wahi mapema

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Habari wanajamvi,

Napenda kuwatangazia biashara ya nyumba inauzwa kiuhalali Kinyerezi mwisho yenye sifa zifuatazo

1. Nyumba kubwa na banda la uani (nyumba ndogo)

Nyumba kubwa ina:
Vyumba vitatu vya kulala
Kimoja masterbedroom
Choo cha ndani
Chumba cha kupikia
Dining room (pakulia chakula)
Sitting room
Milango ya mbao na geti, madirisha gril ezeko la bati.

2. Nyumba ndogo ina vyumba vi nne na sehemu yakupikia, choo cha nje.
Ppia kuna Tank la Maji kuubwa, pia eneo lingine limebakia

Nyumba ni Mpya na haina mmgogoro.
Pia haina udalali.

 Bei ni Tsh50ml
Maongezi kidogo yapo.
Mawasiliano
0789606051
1471116800091.jpg
1471116822219.jpg
1471116839379.jpg
1471116858335.jpg
 
Hilo eneo halina migogoro ya ardhi? Au kwa maneni mengine, title ya hicho kiwanja ni clean?
 
Back
Top Bottom