Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
 
Kwa hiyo wewe unataka utoe "afu" kumi kwa hilo bonge la house!?
Hapana, nyumba ni nzuri sana tu, lakini mkuu unavyoitaja Millioni 30 ni kama haujaitendea haki, hiyo ni Millioni 30 sio 30m.

Anyway yaani Namaanisha ni pesa nyingi sana kuliko kawaida
 
Ina: 3 bedroom βœ…
1 master room βœ…
Sitting room βœ…
Dining room βœ…
Kitchen βœ…
Toilet public βœ…
Tyles tayari βœ…
Gypsum tayar βœ…
Ipo ndani ya fensi βœ…
Gari moja hadi mjini βœ…
Maji yapo βœ…
Umeme upo βœ…
Ukubwa wa kiwanja sqm 400βœ…
Document:mauziano serkali ya mtaa πŸ“„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…