Ukijibu hivi hutaiuza........simply waeleweshe watu kwa nini unaiuza bei hiyo. Jaribu kueleza:
- Ukubwa wa kiwanja
- Neighborhood ya nyumba
- Maji umeme kama vinapatikana
- Ni mpya ama imeshatumika
- Umejenka mwenyewe au kwa contarctor
- Umeiweka kama bond bank
- Ina hati au haina
ndugu yangu majibu ya maswali yako yote yapo hapo kwenye picha,angalia vizuri
Kweli bwana yako kwenye picha....hata hati ya ardhi nimeiona...all the best