mkuu huko viwanja,ni expensive,nakushauri uonane na wale masurveyor na evaluator aje aone eneo lako afu ndio akwambie bei ya kuuza,ndio uuze....hii price uliyoweka hapa naona ni cheap kwa hilo eneo sana,..................
Jestina umesoma vizuri tangazo hilo?? Milioni 85 nyumba ikiwa katika hatua ya finish ni FAIR? Hakika bongo kila mtu fisadi isipokuwa MIMIbei iko fair,wenye mahela yenu nunueni au mnikopeshe mie ninunue ...:lol::lol: