House4Sale Nyumba Inauzwa kwa dharura Toangoma Maliasili DSM bei rahisi

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari,

[emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters
[emoji298] Bei ni Mil 58
[emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma
[emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati
[emoji298] Fence na jiko kama inavyoonekana
[emoji298] nauza kwa dharura bei ni nzuri sanna
[emoji298] kwa mawasiliano 0689 051480
[emoji298] Ukishuka kituo cha maliasili nyumba inayokuangalie nyumba ya nyuma yake.

DSC_0729.JPG
View attachment 2231101
 
Habari
[emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters
[emoji298] Bei ni Mil 58
[emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma
[emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati
[emoji298] Fence na jiko kama inavyoonekana
[emoji298] nauza kwa dharura bei ni nzuri sanna
[emoji298] kwa mawasiliano 0689 051480
[emoji298] Ukishuka kituo cha maliasili nyumba inayokuangalie nyumba ya nyuma yakeView attachment 2231102View attachment 2231101
Hapa ilipojengwa hii nyumba si ndiyo barabara inabidi ipite? Mkuu, hapa hunipati ng'oo🏃‍♂️
 
Hapa ilipojengwa hii nyumba si ndiyo barabara inabidi ipite? Mkuu, hapa hunipati ng'oo[emoji2089]
Sio vizuri kuharibu maongezi ya watu kwa utani wa kipuuzi, mara nyingi watu kama nyinyi mnaharibikiwa maisha kwa laana ndogondogo kama hizi sababu kuna watu wengine tukimchumia mtu anaharibikiwa kabisa
 
Naharibu kivipi wakati najuwa fika kuna mradi wa barabara unakaribia kupita hapo, au kwako kuuliza ni kuharibu?
 
Na kwa taarifa ulizo nazo kama ni kweli, Mwenye kosa hapo ni nani?....ni mradi umemkuta au yeye kaukuta mradi?.
 
Back
Top Bottom