Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Hapa ilipojengwa hii nyumba si ndiyo barabara inabidi ipite? Mkuu, hapa hunipati ng'ooπββοΈHabari
[emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters
[emoji298] Bei ni Mil 58
[emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma
[emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati
[emoji298] Fence na jiko kama inavyoonekana
[emoji298] nauza kwa dharura bei ni nzuri sanna
[emoji298] kwa mawasiliano 0689 051480
[emoji298] Ukishuka kituo cha maliasili nyumba inayokuangalie nyumba ya nyuma yakeView attachment 2231102View attachment 2231101
DuuuhhHapa ilipojengwa hii nyumba si ndiyo barabara inabidi ipite? Mkuu, hapa hunipati ng'ooπββοΈ
ππBado mechi moja
Sio vizuri kuharibu maongezi ya watu kwa utani wa kipuuzi, mara nyingi watu kama nyinyi mnaharibikiwa maisha kwa laana ndogondogo kama hizi sababu kuna watu wengine tukimchumia mtu anaharibikiwa kabisaHapa ilipojengwa hii nyumba si ndiyo barabara inabidi ipite? Mkuu, hapa hunipati ng'oo[emoji2089]
Naharibu kivipi wakati najuwa fika kuna mradi wa barabara unakaribia kupita hapo, au kwako kuuliza ni kuharibu?Sio vizuri kuharibu maongezi ya watu kwa utani wa kipuuzi, mara nyingi watu kama nyinyi mnaharibikiwa maisha kwa laana ndogondogo kama hizi sababu kuna watu wengine tukimchumia mtu anaharibikiwa kabisa
Na kwa taarifa ulizo nazo kama ni kweli, Mwenye kosa hapo ni nani?....ni mradi umemkuta au yeye kaukuta mradi?.Naharibu kivipi wakati najuwa fika kuna mradi wa barabara unakaribia kupita hapo, au kwako kuuliza ni kuharibu?
kuna watu hela ya kula hawana ila wanaathirika na matangazo ya mamilioni kulikoni?Hapo ndo la cruise unapopakimbia??
Ijue nguvu ya bukukuna watu hela ya kula hawana ila wanaathirika na matangazo ya mamilioni kulikoni?