Kwa bei hiyo kwanini nisinunue mjengo kwenye prime area kama Mbezi Beach, etcNyumba inauzwa ipo Mabibo Makutano Mita 300 Kutoka N.I.T kuelekea makutano
Nyumba ipo kwenye Eneo la mita 45
Ina apartments za kuishi Sita
Ina fremu NNE
Bei ni 300 million
Mazungumo yapo
Karibu ..0717 752114
Mil 300.mnaona nyingi!?nimenunua kiwanja mbweni beach mil 500.