Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school
Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters
Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko
Inatank la maji la lita 3000
Bei ni 170M
Karibuni sana
Naona nyumba full aluminium window, tiles, gypsum alafu umepaulia m-south. Na zaidi kwa kujali wateja wako umewawekea nyumba ndani ya fence bila kusahau parking nzuri ya magari na chini umewawekea paving blocks