mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 425
- 250
Nyumba hii Ina vyumba nane, fremu mbili za kufanyia biashara, jumla ya vyumba kumi. Ina umeme tayari, ina milango mizuri ya magliri madirisha aluminum Gypsum tailizi, iko eneo zuri Sana.
Nyumba hii unaweza kuitumia kwa Familia au ukafanya Apartment,au Hostel n.k
Jinsi ya kufika ukifika mbezi mwisho kwa Yusuph njoo mpaka mpiji magoe kituo kinaitwa kwa Stivini,ukishuka hapo uliza kanisa la Romani Catholic mbele kidogo utaiyona nyumba hiyo.
Nyumba hii inauzwa milioni tisini Ila mwenye nyumba yeye anataka themanini milioni Sasa endapo utauza zaidi hizo ni za kwako,naomba Kama Kuna mtu ambaye anahitaji basi mpigie msimamizi wa nyumba 0654530148 huyu ana funguo zote za nyumba na maelekezo mengine yote.View attachment 2068211View attachment 2068213View attachment 2068210View attachment 2068209View attachment 2068212View attachment 2068214View attachment DSC_5498.JPG