House4Sale Nyumba inauzwa manzese tip-top mitaa ya jm-hotel.

House4Sale Nyumba inauzwa manzese tip-top mitaa ya jm-hotel.

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
kama maelezo yanavyojieleza hapo, nyumba haina tatizo wala mgogoro wowote inaishi familia ya mtu mmoja ina ROOM 4, Inafaa sana kama mtu ana malengo ya kumiliki hapo ili aje kupandisha jengo la kibiashara kama Hotel maana kiukweli hii mitaa ya huku kwasasa inanuliwa na matajiri kwa ujenzi wa hotels, yard za magari na mafremu...

Sio mbali sana na barabara ya lami ya Morogoro road na njia mbili za lami zinazoelekea mabibo miundo mbinu ipo vizuri inafikika kwa gari bila shida, bei yake mil.140tshs...

kama mnunuzi atahitaji kuunganisha awe na eneo kubwa anaweza kuuziwa nyumba nyengine hapohapo jirani pembeni kwa jumla ya MIL.300TSHs zote mbili...maongezi yapo pia kwa atakayehitaji anaweza piga simu za muhusika moja kwa moja Namba: 0788260500 au 0674999110...hakuna dalali hapo, Tajiri kufikishwa kuziona ni bure kabisa, asanteni.
 
Bila picha ya eneo habari si habari.

picha itawekwa mkuu, nipo mbali kidogo na eneo kwasasa nikishazishot tu nitazituma ndugu. ila ata kuziona pia ni bure kwa atakayehitaji.
 
Hizi bei awamu ya nne ungekuta PM imejaa.

Sure mkuu unachosema ni kweli ila ngoja tuone itakavyokuwa maana nyumba na uwanja wake huwa ni assets zisizoamishika akikosekana mnunuzi si mtu unabaki na nyumba yako unaishi tu...maana maisha yenyewe ndo haya haya ya kila siku kinachobadilika ni hali ya uchumi tu.
 
Kabisa mkuu
 
Hizi bei awamu hii bado zipo?
 
Back
Top Bottom