House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

J Urio

Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
7
Reaction score
1
Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa.

Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano ni 0655 154 153. Muuzaji napatikana Boko Basihaya-Dar es Salaam.

Karibu sana.

WhatsApp Image 2020-06-14 at 01.03.48.jpeg

WhatsApp Image 2020-06-14 at 01.03.52.jpeg

WhatsApp Image 2020-06-14 at 01.03.53.jpeg
 
Iyo mapinga karege ndo iko mkoa gani, Mbunge wenu Ni Nani.
 
Msingi wake ungenyanyuka tena kama kozi mbili ingekuwa vizuri maana naona upo chini sana halafu kama unadidimia, halafu hizo tofali zake siyo imara au ilijengwa zamani ikaachwa halafu muuzaji kaja kufanya marekebisho kidogo auze
 
Karibu tuzungumze bei
 
Back
Top Bottom