haha afu mpiga picha amevizia sana kukwepa hao watoto wa uswazi kutokea kwenye picha ila imeshindikanaImekaa mtaani sana
Sasa hii si imeshakamilika kakaHiyo siyo nyumba bali ni banda/store, nyumba ni kama hii hapaView attachment 1479066
Ohhhhh!! Sawasawa kaka!Sasa hii si imeshakamilika kaka
Wala hata ni karibu na barabara kabisa.Imekaa mtaani sana
Jamani ebu nunue hiyo nyumba acheni hayo mambo mengine.haha afu mpiga picha amevizia sana kukwepa hao watoto wa uswazi kutokea kwenye picha ila imeshindikana
Hiyo Bagamoyo KakaIyo mapinga karege ndo iko mkoa gani, Mbunge wenu Ni Nani.
Bila shakaLakini si ameeleweka aliyeleta tangazo?
Karibu tuzungumze beiMsingi wake ungenyanyuka tena kama kozi mbili ingekuwa vizuri maana naona upo chini sana halafu kama unadidimia, halafu hizo tofali zake siyo imara au ilijengwa zamani ikaachwa halafu muuzaji kaja kufanya marekebisho kidogo auze
Karibu tuzungumze bei