Young Billionaire
Member
- Jan 26, 2013
- 34
- 7
Weka picha.
Vipi kizuiani kubwa. Upande gani? Annex au kambi ya jeshi.
Mkuu nimekupata.Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ipo karibu/nyuma ya sokoni,ina hati miliki
bei; tshs millioni 90
Dalali anaruhusiwa
Mbagala kizuiani yote imenunuliwa na mearabu anajenga parking? Usituingize chaka hapa ndugu