INAUZWA Nyumba inauzwa mbagala sabasaba sh 55mil

INAUZWA Nyumba inauzwa mbagala sabasaba sh 55mil

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara sabasaba nyuma ya shule ya st antony. Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.
NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE.
Karibuni sana napatikana kupitia namba 0657623266
WP_20161103_008.jpg
WP_20161103_006.jpg
WP_20161103_002.jpg
WP_20161103_001.jpg
 
Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara sabasaba nyuma ya shule ya st antony. Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.
NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE.
Karibuni sana napatikana kupitia namba 0657623266View attachment 429770 View attachment 429771 View attachment 429773 View attachment 429774
kiwanja chake kina title deed na pia kina ukubwa gani
 
umeikopea benk gani tupe jina la mmiliki tukafanye search wizara
 
Hizo gypsum bila kuskim imifka mda zinaharibika. Tengeneza kwanza
 
Sema ipo kule bondeni sio nyuma ya st.antony...kule kuna mitaa tena imepangiliwa vzr sana huwezi pata nyumba kwa hiyo bei na inapoishia mitaa ile ndipo linapoanzia bonde ambako watu wanachimba ili kupata usawa (level) mzuri kusimamisha nyumba
Kama ni kule bondeni hiyo pesa ni nyingi mno kununua hiyo nyumba
 
kweli kabisa hii itakua kule chini kabisa...bondeni..
nimesoma st.anthony miaka 6 na nyuma yake hapako hivyo..labda useme kule chini bondeni 3kms flani hivi bondeni
 
Back
Top Bottom