clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
kiwanja chake kina title deed na pia kina ukubwa ganiHabari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara sabasaba nyuma ya shule ya st antony. Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.
NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE.
Karibuni sana napatikana kupitia namba 0657623266View attachment 429770 View attachment 429771 View attachment 429773 View attachment 429774
Kina sqm 750 yaani 25 kwa 30kiwanja chake kina title deed na pia kina ukubwa gani
Sio labda hicho ndio kiwango kinachostahiliLabda 25 mil
kweli kabisa hii itakua kule chini kabisa...bondeni..Sema ipo kule bondeni sio nyuma ya st.antony...kule kuna mitaa tena imepangiliwa vzr sana huwezi pata nyumba kwa hiyo bei na inapoishia mitaa ile ndipo linapoanzia bonde ambako watu wanachimba ili kupata usawa (level) mzuri kusimamisha nyumba
Kama ni kule bondeni hiyo pesa ni nyingi mno kununua hiyo nyumba