Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Dar mnatushangaza sana. Hii ni nyumba ya kuuzwa milioni 55 kweli?
Uwanja wenyewe kwa muonekano kwa nyumba ya jirani hauna thamani hiyo!!
Hiyo nyumba ukinigaiya bure mm siitakiIpo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank.
Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo.
Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
Nafikili kinacho matter ni location hapo, ungeijua iyo location iliyopo hiyo nyumba usingeandika hivyo.Hiyo nyumba kwa bei hiyo
sent from toyota Allex
Hakuna ushahidi kwamba hiyo nyumba iko kwenye "Location" aliyosema. Mazingira hayasawili alichosema.Nafikili kinacho matter ni location hapo, ungeijua iyo location iliyopo hiyo nyumba usingeandika hivyo.
Portfolio | 2020