Meko Junior
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 159
- 362
what do u mean?!Overpriced
Sent from my iPhone using JamiiForums
ndugu hii ni nyumba ya pili kutoka bagamoyo road tena mbezi beach, i think wachache sisi ndo hatuna hela.Aisee ila ukweli hupati mteja kwa hiyo bei
Watu wako makini na hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Imechakaaa na sasa hela hakunandugu hii ni nyumba ya pili kutoka bagamoyo road tena mbezi beach, i think wachache sisi ndo hatuna hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
inshort hapo ni kama wanauza kiwanja...naelewa nyumba imechakaa.