House4Sale Nyumba inauzwa mbezi beach Massana!

TREPS one

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
17
Reaction score
9
Nyumba inauzwa massana
Inavyumba 3, Master bedroom,
umbali wa mita 40 kutoka barabara ya Massana- Goba.(Ni Km 1.2 kutoka Barabara ya Bagamoyo) Maji na umeme upo.
Nyumba imekamilika kwa 100%

Bei ni Tsh 50mil

Wasiliana na muuzaji mojakwamoja kwa no.0753021619
 

Attachments

  • IMG_20181112_173127.jpg
    344.5 KB · Views: 52
Nyumba ipo Massana Mbezi beach, M40 tu kutoka barabara ya Massana- Goba.

Nyumba ni yakisasa, ni Vyumba vitatu.(3)

Bei ni Tsh 50Mil

Wasiliana na muuzaji kwa 0753021619.
 

Attachments

  • IMG_20181112_173127.jpg
    344.5 KB · Views: 77
Picha zipo! Kwa maelezo zaidi number ya simu imewekwa. Karibu sana.
 
Humu jf wateja utawatafuta kwa tochi...maswali yao meengi .....pesa hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…