Nyumba inauzwa mbezi beach

Nyumba inauzwa mbezi beach

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
NYUMBA INAUZWA.

IPO MBEZI MEACH DAR ES SALAAM. IPO NDANI YA UWANJA WENYE UKUBWA WA MITA ZA MRABA 2600. NDANI YA HUU UWANJA KUNA NYUMBA KUBWA YA GHOROFA YANYE VYUMBA VITATU HUKU MASTER BEDROOM IKIWA JUU.
HALIKADHARIKA KUNA NYUMBA NDOGO AMBAYO INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBURE PAMOJA NA GARAGE. PIA KUNA DINNING ROOM KUBWA NJE INAYOJITEGEMEA, JIKO LA NJE NA STORE, NYUMBA NDOGO YA MTUMISHI.
TANK LA KUHIFADHI MAJI LITA 45000. NYUMBA HII INAUZWA TSHS 400,000,000/=. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU 0717 114409 AU BARUA PEPE
emanuel.kayinga@gmail.com ANGALIA PICHA YAKE. UKIHITAJI PICHA NYINGINE NITAKUTUMIA.
 
Attachments

  • MBEZI BEACH HOUSE JPE.JPG
    MBEZI BEACH HOUSE JPE.JPG
    58.5 KB · Views: 273
inflated prices

warning: the bubble is about to bust
a lot of people have paid over the odds expecting high rent returns, there houses are still empty

nyumba nyingi ziko sokoni kwa mdaa mrefu sana..
hiyo nyumba hata ukiikodisha for 25yrs urudishi hela yako, kwanza kupata mpangaji ni shida sana.....
 
mbona hela kibao hizo ???? mpigie liumba ndo ana mihela ya namna hiyo
 
Tank la maji ni lita elfu 45 au ni lita elfu nne mia tano? Umeandika lita 45000. Sio kwamba nanunua bali naamini ni muhimu kila kitu kiwe sawa. Labda ungewaeleza wanaohitaji ni sehemu gani ya Mbezi Beach, maana Mbezi Beach ni kubwa sana.
 
Naungana na Augustine Moshi kutaka kufahamu hiyo nyumba ipo Mbezi beach sehemu gani?
Pili, je nyumba hiyo inafikikaje, barabara gani kubwa ipo karibu na kwa umbali gani?
Kama hutajali, tubandikie location ikionesha ipo katika latitude na longitude gani ili iwe rahisi kuangalia hilo eneo.
 
Mh..halafu kuna tank tu, maji yanatoka wapi?
 
Nafikiri hiyo picha ungeiboresha zaidi. Tungepata picha kwa muonekano tofauti tofauti.... Kwa nyuma, kwa mbele, kwa pembeni na hata kwa juu pia. (Front elevation, rear view, side view and top view). Hii inaweza kumsaidia mnunuzi mtarajiwa kuvutiwa nayo......

KAZI BUTI, BIASHARA NI MATANGAZO MWANAWANI........TANGAZO KWA UFANISI, KITU KIJIUZE CHENYEWE...
 
Naungana na Augustine Moshi kutaka kufahamu hiyo nyumba ipo Mbezi beach sehemu gani?
Pili, je nyumba hiyo inafikikaje, barabara gani kubwa ipo karibu na kwa umbali gani?
Kama hutajali, tubandikie location ikionesha ipo katika latitude na longitude gani ili iwe rahisi kuangalia hilo eneo.
Nyumba ipo mita chache kutoka old Bagamoyo road(barabara mpya). Karibu sana na Mikocheni. unataka nikutumie GPS coordnates?
 
Naungana na Augustine Moshi kutaka kufahamu hiyo nyumba ipo Mbezi beach sehemu gani?
Pili, je nyumba hiyo inafikikaje, barabara gani kubwa ipo karibu na kwa umbali gani?
Kama hutajali, tubandikie location ikionesha ipo katika latitude na longitude gani ili iwe rahisi kuangalia hilo eneo.
Elfu 45.
 
inflated prices

warning: the bubble is about to bust
a lot of people have paid over the odds expecting high rent returns, there houses are still empty

nyumba nyingi ziko sokoni kwa mdaa mrefu sana..
hiyo nyumba hata ukiikodisha for 25yrs urudishi hela yako, kwanza kupata mpangaji ni shida sana.....
Hivi sasa ina mpangaji tayari. Inategemea unanua kwa matumizi gani. kuna watu wana ndoto ya kuwa na nyumba kama hiyo kwa ajiri ya kuifanya makaazi yao.
 
Back
Top Bottom