Tena lipo ndani ya fence kuna nyumba zingine pia humo ndaniMkuu hebu fafanua hiyo nyumba inauzwa na hilo eneo lote? Vipi hizo zingine mipaka yake ikoje.
mkuu nyumba ipo ndani ya uwanja wa sqm 400 tu na kuna mawe ya mipaka kwa upande wa nyuma imepakana fence ya ukuta wa jirani na upande wa mbele imepakana na barabara ya mtaaMkuu hebu fafanua hiyo nyumba inauzwa na hilo eneo lote? Vipi hizo zingine mipaka yake ikoje.
Umesema 30M?Mkuu nyumba haijazungukwa na fence pande zote bali ni upande wa nyuma tu ndo kuna fence ya jirani lakini kwa mbele eneo ni wazi linapakana na barabara ya mtaa
kuna nyumba tatu ndani ya uzio mmoja, je hizo zote ni mali ya mtu mmoja?Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self
Ina sitting& dinning room
Ina kitchen na Public toilet
Nyumba imeisha bado kufanya finishing
tu kama utakavyohitaji wewe
Bei mln 30 maongezi yapo
Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road
Eneo la kiwanja ni mita 20×20
Documents ni Sales Agreement
0675 065906
Mkuu acha maneno kama unayo mln 30 njoo na mwanasheria wako ununue nyumba.....ila kama huna hela wacha wengine waje kununua ukiponda haisaidii kama huna huna tuMkuu wewe ni tapeli! Mil. 30 ni bei ya kiwanja tu kwa maeneo hayo uliyoyataja!