Bei Rafiki kabisa hii Mzee, hapo unatia 20M zingine nyumba inakuwa kaliMbezi mwisho - Makabe - Kwa Lipelanya
.
Ni nyumba inayohitaji finishing ndogo ili kuingia
.
Ukubwa wa kiwanja ni mita 17 kwa mita 18
Vyumba vitatu, sebule, dining, store
Shimo la choo, setting ya vyoo, setting ya maji na setting ya umeme tayari
Imeshapauliwa tayari
madirisha na milango ya grill tayari
Gari inafika mpaka hapo
.
Nyaraka ni mauziano ya serikali ya mtaa
.
0717 650800
Kabisa mkuuBei Rafiki kabisa hii Mzee, hapo unatia 20M zingine nyumba inakuwa kali
Mkuu kwema?nipe kazi hiyo nikutafutie wateja faster ndo kazi zangu hizoShort video
Umeshapata Mteja mzeeShort video
Piga kazi mzee.... picha, video, namba ya simu na maelezo vyote unavyoMkuu kwema?nipe kazi hiyo nikutafutie wateja faster ndo kazi zangu hizo
0675 065906
Na iwe hivyo mkuuUmeshapata Mteja mzee
Tazama video hizo zitakusaidia boss wanguPiga picha nyumba kwa ujumla wake tuione. Umetuwekea vichumba chumba tu
Acha ubishi wewe,Tazama video hizo zitakusaidia boss wangu