House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Makabe

nulija

New Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
4
Reaction score
2
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe
ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30
ina vyumba vitatu(master 1)
Public toilet
jiko na store

Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500
 
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe
ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30
ina vyumba vitatu(master 1)
Public toilet
jiko na store

Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500View attachment 346579View attachment 346580

Niuie radhi mkuu public toilet itakuwaje ndani ya nyumba ni family house tena ni self contained? Neno sahihi ingekuwa family toilet.
 
Habari haijakamilika hii kwanza sio nyumba na pili weka bei hapa hapa
 
Safari ya Bush imewadia nini? Magufuli bwana kiboko, kaziba mirija yote.
hahahahah penda sana comments za JF mie maana zinaniongezeaq furahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Niuie radhi mkuu public toilet itakuwaje ndani ya nyumba ni family house tena ni self contained? Neno sahihi ingekuwa family toilet.
Wakija wageni wengine kama marafiki nk hawaruhusiwi kutumia hiyo unayoita family toilet?
 
Wakija wageni wengine kama marafiki nk hawaruhusiwi kutumia hiyo unayoita family toilet?

Wageni na marafiki wanatumia family toilet lakini haijawa public toilet. Public toilet ni zile za e.g Ubungo terminals.
 
Wageni na marafiki wanatumia family toilet lakini haijawa public toilet. Public toilet ni zile za e.g Ubungo terminals.
Hahahaha sawa bwana, nime-connect idea yako na "public transport" nikapata jibu linaloridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…