Nyumba inauzwa Mbezi Makonde, ukubwa wa kiwanja n 1010 SquareMetres

0766255498

Kwa ambao hawajapiga simu hapo juu ni kwamba nimekwenda kuiona nyumba na bado ipo. Inauzwa shilling billion moja za kitanzania cash bila mzungumzo.
Vyumba vitatu kiwanja ni unsurveyed, location ni mbezi makabe.
 
.... Inauzwa shilling billion moja za kitanzania cash bila mzungumzo.
Vyumba vitatu kiwanja ni unsurveyed, location ni mbezi makabe.
Ulijaribu kumchunguza huyo muuzaji kama ajatoka Mirembe hivi karibuni!
 
Kwa ambao hawajapiga simu hapo juu ni kwamba nimekwenda kuiona nyumba na bado ipo. Inauzwa shilling billion moja za kitanzania cash bila mzungumzo.
Vyumba vitatu kiwanja ni unsurveyed, location ni mbezi makabe.

Pia nimesikia Ina migogoro ya kifamilia hivyo ndugu mmoja anaiuza ili kuwadhulumu wadogo zake wa Mama Tofauti!!
 
Kwa ambao hawajapiga simu hapo juu ni kwamba nimekwenda kuiona nyumba na bado ipo. Inauzwa shilling billion moja za kitanzania cash bila mzungumzo.
Vyumba vitatu kiwanja ni unsurveyed, location ni mbezi makabe.

Mbezi makabe bei hiyo? Anawazimu nini huyo muuzaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…