Haijakamilika imeisha kwa asilimia 90. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 900 na kina Hati Miliki. Ina vyumba vitatu vya kulala ambavyo vyote ni self contained. Ukubwa wa vyumba: Masterbedroom 24 sqm. Jiko 8 sqm. Dinning 12 sqm. Living room 20 sqm. Ukitaka kujua bei yake piga simu hii au tuma sms 0784225000 au email: info@kitomai.com. Karibu na asante sana