House4Sale Nyumba inauzwa MIL. 36 imekamilika idara zote mpaka miundombinu ya maji

TULIMAJE

Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
92
Reaction score
51
Nyumba ina wiring, gypsum kisasa,Aluminium windows, tiles, vyoo viwili ndani vyumba vya kulala 3,kitchen,sitting room, Ina miundombinu ya maji ndani,ina kisima cha maji baridi ya kunywa,Ina chumba cha nje ambacho ni stand ya tank la maji pia, ina kiwanja cha ziada mita 18 kwa 16,bati msauzi na ina pvc na solar ya akiba yenye uwezo wa kusukuma TV bila inveta (Zola) hela ya mwenye nyumba MIL. 36 .ipo chanika kidugalo Cheki picha zake

mawasiliano:Mwenyenyumba 0682825569 Kijana wake 0768412181
 

Attachments

  • IMG_20190120_171343.jpg
    139.1 KB · Views: 42
  • IMG_20190120_171415.jpg
    129.4 KB · Views: 47
  • IMG_20190120_171615.jpg
    59.3 KB · Views: 38
  • IMG_20190120_171558.jpg
    76.8 KB · Views: 42
  • IMG_20190120_171632.jpg
    48.9 KB · Views: 36
  • IMG_20190120_171655.jpg
    89.4 KB · Views: 44
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…